Tuesday, July 29, 2008

Habari Gani?

Habari! Jina langu ni John. Mimi ni Mzungu na bibi yangu ni MKenya.
Mimi ninazaliwa Nairobi. Mimi ni bibi yangu tunapenda Nairobi. Sisi tunakaa Hindi.

Mimi ninasoma Kiswahili. Hili ni somo langu la kwanza.

Tutaonana!

No comments: