Sunday, September 14, 2008
Siku Yangu - My day
Mimi hujaribu kuacha nyumba kabla ya saa mbili asubuhi. Mimi huenda kazini kwa gari. Kawaida mimi hufika kazini saa tatu asubuhi. Kazini mimi hunywa vikombe vingi vya kahawa.
Mimi humaliza kazi saa kumi na moja mchana. Mimi hurudi nyumbani, kisha huenda kwenye sehemu ya mazoezi. Hurudi kutoka mazoezi saa mbili unusu usiku. Baada ya hapo mimi huoga. Kisha hula chakula cha jioni. Baada ya hapo mimi hulala.
Saturday, August 16, 2008
Nyumba Yangu
In this blog I try to describe my house using the language I know.
Nyumba Yangu
Nyumba yangu ni Bangalore. Anuani ni 197 Prestige Ozone, Bangalore, 560066, India.
Nyumba yango ina ukumbi mkubwa na sehemu ya kulia. Ukumbi ina runinga na meza. Ina viti nne.
Nyumba ina jiko kidogo.
Nyumba ina vyumba za kulala vitatu. Vyumba za kulala vyote zina vyoo. Chumba ya kulala changu ni kikubwa. Vyumba viingine ni vidogo. Vyumba viote zina kitanda lakini hazina runinga.
Nyumba ina bustani kijani. Ina sehemu ya kuliza magari. Nymba ina maji ya bomba, lakini haina jenerata.
Mimi nakuipenda nymba yangu.
N- Class Nouns
nyumba house(s)
njia road(s)
mbwa dog(s)
ng'ombe cow(s)
ndizi banana(s)
There are many others that don't begin with the n sound such as
tembo elephant(s)
simba lion(s)
chupa bottle(s)
In all cases the singular and plural form are the same.
Subject prefixes used for verb agreement
ndizi inatoka Nairobi the banana comes from Nairobi
ndizi zinatoka Nairobi the bananas come from Nairobi
Demonstratives
hii (this)
ile (that)
hivi (these)
zile (those)
For example;
ndizi hii, ndizi ile, ndize hivi, ndizi zile
this banana, that banana, these bananas, those bananas
Possesives
yangu/zangu
yako/zako
yake/zake
yetu/zetu
yenu/zenu
yao/zao
Sunday, August 10, 2008
The Ki-Vi Noun Class (II)
For Ki-Vi Nouns the subject prefix is "ki-" and "vi-"
The demonstrative forms (this, these, that and those) are "hiki", "hive", "kile" and "vile"
Examples
Kisu kirefu hiki kinatoka Kenya.
This long knife comes from Kenya
The possesive forms (my, your, his/her, our, your {p.}, their) are:
changu/vyangu
chako/vyako
chake/vyake
chetu/vyetu
chenu/vyenu
chao/vyao
Note that singular possession and plural possession are distinguished by the different prefixes "ch-" and "vy-"
Hiki ni kitanda changu
This is my bed
Hivi ni vitanda vyangu
These are my beds
Kile ni choo chetu
That is our bathroom
Hivi ni vitanda vyao
These are their beds
Vile ni vitanda vyenu
Those are your beds
Hiki ni kisu chako?
Is this your knife?
Hivi ni vijiko vyetu
These are our spoons.
Saturday, August 9, 2008
The Ki-Vi Noun Class
If the root part of the noun does not begin with a vowel, the prefixes are "ki-" and "vi-"
The singular form begins with "ki-"
The plural form begins with "vi-"
Examples
kitanda/vitanda
bed(s)
kiti/viti
chair(s)
kitabu/vitabu
book(s)
kitu/vitu
thing(s)
kichwa/vichwa
head(s)
kikombe/vikombe
cup(s)
If the root part of the noun begins with a vowel the prefixes become "ch-" and "vy-"
chumba/vyumba
room(s)
chakula/vyakala
food(s)
Saturday, August 2, 2008
Possessive pronouns like; "my", "your", "his", "our", and "their"
In Swahili we have possesive roots which must be prefixed depending on the noun class.
-angu my
-ako your (s.)
-ake his
-etu our
-enu your (pl.)
-ao their
For the M-Wa class of nouns the prefix to be used is "w-" for both plurals and singular forms.
Examples
Hawa ni watoto wangu.
These are my children.
Yule ni mwalimu wetu.
That is our teacher.
Hawa ni wazazi wenu?
Are these your parents?
Hawa ni wazazi wetu.
These are our parents.
Wale ni watoto wao.
Those are their children.
Mume wake anasema Kiswahili
Her husband speaks Swahili
Friday, August 1, 2008
Demonstrative pronouns; this, these, that and those
For nouns in the m-wa class the demonstratives are:-
huyu this
hawa these
yule that
wale those
Examples
Huyu ni Kevin. Yule ni Andrew.
This is Kevin. That is Andrew
Hawa ni Kevin na Fakiri.
These are Kevin and Fakiri
Negation of sentences using "hapana" and "si"
Hapana, mini si mwanafunzi
Wewe ni Mmarekani
Hapana, wewe si Mmarekani
Yeye ni mwalimu
Hapana, yeye si mwalimu
Sisi ni wanfunzi
Hapana, sis si wanfunzi
Nyinyi ni Wamarekani
Hapana, nyinyi si Wamarekani
Wao ni Watanzania
Hapana, wao si Watanzania
Using subject pronouns mimi wewe yeye sisi nyinyi wao
wewe unasoma Kiswahili
yeye anasoma Kiswahili
sisi tunasoma Kiswahili
nyiynyi mnasoma Kiswahili
wao wanasoma Kiswahili
Dialogue using nzuri hujambo tutaonana kwaheri sijambo langu gani nani
A: Habari gani?
B: Nzuri!
A: Hujambo
B: Sijambo
A: Jina lako ni nani?
B: Jina langu ni John.
A: Kwaheri
B: Kwaheri
A: Tutaonana!
B: Tutaonana!
Swahili Examples
I come from England
Wewe unasema Kiswahili
You speak Swahili
Yeye anasoma Kiswahili
You are studying Swahili
Sisi tunakaa Bangalore
We are staying in Bangalore
Nyinyi mnapenda kusoma Kiswahili
Wao wanalala.
Mimi ninapenda kucheka na kucheza na kuimba.
Wewe unaandika
You are writing
Yeye anasikia na anaona.
Thursday, July 31, 2008
Yes/No Questions
The question can be answered either positively by using "Ndio" (sometimes spelt "nidyo"), or negatively by using "Hapana"
Je, jina lako ni Ali?
Is your name Ali?
Ndiyo, Jina langu ni Ali.
Yes, my name is Ali.
Hapana, jina langu si Ali.
No my name is not Ali.
Note that the negative form of the verb "to be" is "si"
Some examples
Jina lako ni Liz?
Is your name Liz?
Hapana, jina langu si Liz
No, my name is not Liz.
Present Tense of "to be"
Jina langu ni John.
My name is John
Mimi ni mzungu
I'm a European
Yeye ni Elizabeth na hayu ni Kevin
She is Elizabeth and this is Kevin
Sisi ni wanafunzi
We are students
Wednesday, July 30, 2008
Verb Conjugation
1) Subject pronouns ( I, you, he/she, we, you, they )
- mimi (I)
- wewe (you s.)
- yeye (he, she)
- sisi (we)
- nyinyi (you pl.)
- wao (they)
Subject prefixes are added before a verb root to represent the subject of the sentence.
The subject prefixes for personal pronouns are:
- mimi ni-
- wewe u-
- yeye a-
- sisi tu-
- nyinyi m-
- wao wa-
3) Present tense
The present tense of a verb involves adding a second prefix "-na-" between the subject prefix and the root. The verb construction is hence formed by
[subject prefix] + "na" + [verb root]
For example the verb kutoka means to come from. The root is formed by removing the infinitive part of the verb "ku" leaving the verb root toka. The tense infix na representing present tense is added and the subject prefix is added to the start.
mimi ni-na-toka.... I come from....
wewe u-na-toka.... you come from.... (s.)
yeye a-na-toka.... he/she comes from....
sisi tu-na-toka.... we come from....
nyinyi m-na-toka.... you come from.... (pl.)
wao wa-na-toka.... they come from...
5) Some verbs for practice
kutoka to come from
kusema to speak
kusoma to study/read
kukaa to live/stay
kupenda to like/love
kulala to sleep
kucheka to laugh
kuimba to sing
kucheza to play/dance
kuandika to write
kusikia to hear
kuona to see
kuishi to live
kujibu to answer
kujaribu to try
kurudi to return to
kufikiri to think
6) Examples using kusema
- mimi ninasema Kiswahili
- wewe unasema Kiswahili
- yeye anasema Kiswahili
- sisi tunasema Kiswahili
- nyinyi mnasema Kiswahili
- wao wanasema Kiswahili
7) More examples
Mimi ninasoma Kiswahili.
I am studying swahili
Mimi ninakaa Indu.
I live in India
Mimi ninapenda bibi yangu.
I love my wife
Wewe unapenda kulala.
You like to sleep.
nyinyi mnalala.
You are sleeping.
mimi ninapenda kuimba na kucheza.
I like to sing and to dance
mimi ninajaribu kuandika Kswahili.
I try to write swahili
mimi ninafikiri wewe unasoma Kiswahili.
I think you are reading swahili
Tuesday, July 29, 2008
Habari Gani?
Mimi ninazaliwa Nairobi. Mimi ni bibi yangu tunapenda Nairobi. Sisi tunakaa Hindi.
Mimi ninasoma Kiswahili. Hili ni somo langu la kwanza.
Tutaonana!