Sunday, September 14, 2008

Siku Yangu - My day

Kila siku mimi huamka saa kumi na mbili na dakika arobaini asubuhi. Kwanza hufanya mazoezi kidogo, kisha huoga, hupiga mswaki na hunyoa ndevu. Baada ya hapo huvaa nguo na hunywa chai ya asubuhi. Kawaida hula nafaka (CornFlakes) na mayai. Mimi hunywa chai.

Mimi hujaribu kuacha nyumba kabla ya saa mbili asubuhi. Mimi huenda kazini kwa gari. Kawaida mimi hufika kazini saa tatu asubuhi. Kazini mimi hunywa vikombe vingi vya kahawa.

Mimi humaliza kazi saa kumi na moja mchana. Mimi hurudi nyumbani, kisha huenda kwenye sehemu ya mazoezi. Hurudi kutoka mazoezi saa mbili unusu usiku. Baada ya hapo mimi huoga. Kisha hula chakula cha jioni. Baada ya hapo mimi hulala.

Saturday, August 16, 2008

Nyumba Yangu

In this blog I try to describe my house using the language I know.

Nyumba Yangu

Nyumba yangu ni Bangalore. Anuani ni 197 Prestige Ozone, Bangalore, 560066, India.
Nyumba yango ina ukumbi mkubwa na sehemu ya kulia. Ukumbi ina runinga na meza. Ina viti nne.

Nyumba ina jiko kidogo.
Nyumba ina vyumba za kulala vitatu. Vyumba za kulala vyote zina vyoo. Chumba ya kulala changu ni kikubwa. Vyumba viingine ni vidogo. Vyumba viote zina kitanda lakini hazina runinga.
Nyumba ina bustani kijani. Ina sehemu ya kuliza magari. Nymba ina maji ya bomba, lakini haina jenerata.

Mimi nakuipenda nymba yangu.

N- Class Nouns

N- class nouns often begin with a strong "n-' nasal sound. Example of N- class nouns include;
nyumba house(s)
njia road(s)
mbwa dog(s)
ng'ombe cow(s)
ndizi banana(s)
There are many others that don't begin with the n sound such as
tembo elephant(s)
simba lion(s)
chupa bottle(s)

In all cases the singular and plural form are the same.

Subject prefixes used for verb agreement
ndizi inatoka Nairobi the banana comes from Nairobi
ndizi zinatoka Nairobi the bananas come from Nairobi

Demonstratives
hii (this)
ile (that)
hivi (these)
zile (those)

For example;
ndizi hii, ndizi ile, ndize hivi, ndizi zile
this banana, that banana, these bananas, those bananas

Possesives
yangu/zangu
yako/zako
yake/zake
yetu/zetu
yenu/zenu
yao/zao

Sunday, August 10, 2008

The Ki-Vi Noun Class (II)

Verbs, adjectives, possessives must all agree with the noun class.

For Ki-Vi Nouns the subject prefix is "ki-" and "vi-"

The demonstrative forms (this, these, that and those) are "hiki", "hive", "kile" and "vile"

Examples

Kisu kirefu hiki kinatoka Kenya.
This long knife comes from Kenya


The possesive forms (my, your, his/her, our, your {p.}, their) are:

changu/vyangu
chako/vyako
chake/vyake
chetu/vyetu
chenu/vyenu
chao/vyao

Note that singular possession and plural possession are distinguished by the different prefixes "ch-" and "vy-"

Hiki ni kitanda changu
This is my bed

Hivi ni vitanda vyangu
These are my beds

Kile ni choo chetu
That is our bathroom

Hivi ni vitanda vyao
These are their beds

Vile ni vitanda vyenu
Those are your beds

Hiki ni kisu chako?
Is this your knife?

Hivi ni vijiko vyetu
These are our spoons.